Sunday, December 22, 2013

Maisha ya Uswahilini,Umbea mtindo mmoja!haaaa!haaaa!haaaa!
 Sasa unaweza kupata katuni matata za kukata na shoka ndani ya gazeti pendwa namba moja liitwalo MASKANI BONGO!

Wednesday, August 29, 2012

Darasa Jipya Ugenini

Unakumbuka nini,Au huwa inakuaje pale Mtoto wa Kike Mgeni Alipohamia/Anapohamia Darasani kwako?Haya yalikua yakitokea darasani kwangu.
Shoutout kwa Wanafunzi waliopo na waliomaliza Meta High School,Mbeya

Unadhani Wawili Hawa Wanajadili Nini?